Kwanini mimi sipati wangu...!

Mungu anajibu kwa wakati... Miaka 28 hujachelewa mdogo wangu..Wala huna haja ya kuanza kupanic..!

Endelea kumuomba Mungu..Naamini iko siku atajibu maombi yako na utapata mke mwema..Kila la kheri.
 
Muda ukifika utampata...embu sa iz endelea kuhangaika maana jinsia iyo imetuzd idad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…