Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
msukuma wewe?28 sasa!
msukuma wewe?
pole mkuu punguza upole jitahidi kutongoza na uwe unadanganya kidogo.....una miaka mingapi?
ila wakati ukifika Mungu atakupa mwenzi tu
Ndio maana nataka tumpe ushauri maana hata mimi msukuma,amejisifia ana vyote,ila wasukuma wenzangu nawajuainaonesha hivyo kwani huoni ndugu?
sasa mkuu hata mimi ni msukuma,kama una kila kitu,labda una umami bado,hilo litakuwa linakuangushakweli mi msukuma , nataman sana nimpate wangu
ndiyo kam ulishawahi kutongoza ukiongea ukweli tu utaboa lazima uweke na uongo kidogopäiva;9797547 said:Hahahahahaaa.... Uongo kidogo ni upi? miss chagga.
usijali mkuu mungu atakupa aliye wako. Jichanganye kwny makundi km vile kanisan/msikitini jitokeze kwny shughuli mbalimbali km harus send off etc. Bila hivyo km unafanya kazi za kutoka asubhi na kurudi usiku utapata chngamoto. Kila kheri mkuu ktk mchakato huo
sasa mkuu hata mimi ni msukuma,kama una kila kitu,labda una umami bado,hilo litakuwa linakuangusha