Kwanini Millardayo haripoti Habari za CHADEMA?

Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
analinda kitumbua chake, unataka afungiwe akale wapi?
 
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
Chawa wa RC MARA.
 
Sometimes tumsamehe tu huyu dogo mfyeka migo maana akikaza shingo atakosa ugal na family yake! Utasikia mkwepa kodi unapigwa muflis mara umekiuka taratibu unapigwa bana milele!! Tatizo ni mfumo!!
 
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
Mambo siyo poa ndani ya chama
 
Nakuona katika ubora wako,ni mwendo wa kuwanyoosha tu wanaokaa upande😁😁
 
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
Huyu mbona ni KADA na CHAWA MKUBWA
 
Back
Top Bottom