Kwanini Millardayo haripoti Habari za CHADEMA?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,575
Reaction score
31,012
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
 
Hata hivyo CHADEMA haihitaji support ya GAYS.....
Wewe nawe uwe unaangalia hoja sio kuropoka tu katika kila jambo unakua Mpumbavu kuliko Upumbavu. Hapo point yako iko wapi sasa?
 
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
Anzisha ya kwako halafu ukaripoti huo ujinga unaoutaka. Wewe hujui gharama ya kujenga brand ndiyo maana unataka kumuingiza kwenye mambo yasiyo na tija.
 
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
Waripoti watu wapo vijiweni!
 
chadema haihitaji kuungwa mkono na mashoga ya ccm
 
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
Hiyo ni ngo ya wanaharakati leo wanamsema vibaya Dkt Samia ila ni hao hao walimsifia kwa kumtukana Dkt Magufuli. Hivi wewe kama mwenye chombo utafanyaje??
 
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa ya media Zipo kimya

Hizi media sio waoga ila wamerambishwa asali mambo Yao yamewanyokea, madili yanatiki ndio mana Roho zao zimesuzika

Hata Habari ya maaskof kupinga mkataba wa bandari alipost akafuta tena mda huo huo inaonekana anaelekezwa

Makasuku tu hawa natangaza Kum.unfollow recently
Sasa Hivi kesi za UHUNI/UHAINI pamoja na UCHOKOZI/UCHOCHEZI unapewa kama njugu.

Millard anaogopa...
Kama ile siku ya:- SAUTI YA WATU ni SAUTI YA MUNGU. Mfuto ulitumika sana kwenye page za Millard Ayo.
 
Back
Top Bottom