Unapokuwa kwenye semi sitting au upright position inasaidia upumuaji kwa sababu moja tu kubwa ambayo ni kwamba Misuli ya upumuaji (Diaphragm) inayo tenganisha katikati ya kifua na tumbo inafanya kazi kwa urahisi katika kusukuma na kutanua mapafu. Hii inatokana na gravity na uzito wa mapafu kwahiyo effort inayotumika kutanua mapafu iki kupumua pia inakuwa kidogo.
Kukaa upright inasaidia mgonjwa kwanza a bedridden patient kutopata bedsores(vidonda kwa mgongo ama ile pande amezoea kulalia)..the best option kwa a patient in icu mwenye ako unconcious ni kumpindua pindua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.