BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,504
- 21,570
- Thread starter
-
- #21
Wewe ni mpuuzi sana na unaonekana ni wale mazuzu wanaoabudu TAMADUNI ZA KITANGANYIKA ambazo hata hazijulikani zimeandikwa wapi.Mbwa anaanzaje kuranda mtaani, akingata mtu nani anawajbika? Mbwa asiye na wenyewe anapaswa kuuwawa na afisa wanyama na kwenda kuchimbiwa. Hatuhitaji mifugo bila mpangilio. Hata wanyama pori wanalindwa wasiingie kwenye makazi ya binadamu. Punguza ujinga
Kwamba mnalawiti mbwa?Msimu wa mvua huu ...Hujasikia kesi za mbwa ?
Huu ni UKATILI.Kuna wakati mtaa flani mbwa walizidi
Haijakulikana hata wanaishi nyumba zipi
Bhnaa kilipita kikosi kinawarushia nyama zenye sumu…..
Ilikuwa wanarudi tu kuwaokota.
Kuna kiumbe mchafu roho mbaya kama mwanadamMimi kinachonifanya nisimpende mbwa ni kule kujisaidia saidia hovyo kwenye kona za mitaa.
Namchukulia kama kiumbe mchafu sana.
nawewe nikikuona nakupiga miti.Huna akili, jitu zima lakini fyatu.
🤣🤣🤣🤣😂Ndo hujakua sasa
Tuliza komwe
njoo unipige.nawewe nikikuona nakupiga miti.
Kama uko dar ukiona mbwa wanazaga,wasiliana na ile ngo iko obay watakuja kuwachukuwaKuna wakati mtaa flani mbwa walizidi
Haijakulikana hata wanaishi nyumba zipi
Bhnaa kilipita kikosi kinawarushia nyama zenye sumu…..
Ilikuwa wanarudi tu kuwaokota.
Wanakamata kuku kwa sababu hawapewi chakula.
Unataka wakale wapi labda?
Wewe mwenyewe usipokula siku moja tu domo linaachama na kuhorojoka mpaka unataka kukata roho. Sembuse mnyama ambaye hana SHAMBA!
Jamani!
This is IRRESPONSIBILITY.huku kwetu usipowatupia mawe watajaza kinyesi uwanja mzima. Watageuza nyumba yako sehem yao ya kujisaidia haja zote!
Tena nyie ndo WACHAFU kuliko mbwa.Mimi kinachonifanya nisimpende mbwa ni kule kujisaidia saidia hovyo kwenye kona za mitaa.
Namchukulia kama kiumbe mchafu sana.
Oyaaa askuambie mtu zamani home kulikua na mbwa jike ikifika msimu wa kupandana tunampiga cheni usiku hatumuachii sasa kuna siku mbwa wa mtaani huko akasoma ramani kuna kidem hapo ndani akapambana kwenye fensi akaingia jike hana hiyana akampa si vikanasa alafu wasaidizi wa shetani tupo tunaona aloooo nilienda na fimbo nzito nikapiga pale kati paaaaahhh jike alitoa mlio sjawahi sikia dume alipita sehemu ambayo hawezi kupita akiwa timamu maana fensi ya boganvilia imeshona vizuri ila hakuhangaika kutafuta alipoingilia.Na kama wakinatiana ndiyo balaa watakimbizwa hata kilomita 5 na mawe juu
Ushawahi kutana na Ng'ombe au Punda anayebeba mizigo na kufungwa nira anavyochapwa fimbo?Umeongea Ukweli mtupu moja kati ya Tabia inayonikera na Kuniumiza sana ni Kuonea Wanyama na Waathiriwa wakubwa wamekuwa ni Mbwa na Paka. Inabidi Programm ya dharura ianzishwe ili Kuvitetea hivi Viumbe.
Kwa I wewe upo wapi? Najuaga siku zote upo Dar.Tena nyie ndo WACHAFU kuliko mbwa.
Ukipita DAR kila sehemu pananuka MAVI YA BINADAMU, mnakunya kwenye mitaro, mnakojoa hovyo, MAVI KILA PAHALA.
Mavi ya mbwa hayana hata harufu ukilinganisha na MAVI YENU nyie WAKAZI WA DAR.
This is GOOD GOOD!! Nimeipenda.Kama uko dar ukiona mbwa wanazaga,wasiliana na ile ngo iko obay watakuja kuwachukuwa
Mbwa wamekodiwa jumba zima uko obay wanapewa good time
Ova
Unapenda kupigwa miti kizembe eeh?njoo unipige.
Hahaa mkuu watamaliza ma Mbwa yote haya ya mjini?Kama uko dar ukiona mbwa wanazaga,wasiliana na ile ngo iko obay watakuja kuwachukuwa
Mbwa wamekodiwa jumba zima uko obay wanapewa good time
Ova