BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,479
- 21,484
Na kama wakinatiana ndiyo balaa watakimbizwa hata kilomita 5 na mawe juuNafikiri hii pia ni mojawapo ya zile "mila za kitanganyika" ambazo zinapigiwa makelele mpaka wameamua kuunda programu maalumu ya kwenye redio ili KUHUBIRI na KUTANGAZA MILA ZA KITANGANYIKA.
Mbwa wengi wamegeuka kuwa mbwa koko kwa sababu ya kupigwa hovyo, kurushiwa mawe, kufokewa na kunyanyaswa.
Mtu akiona mbwa tu ni kama anapata mtikisiko wa neva, unashangaa anaokota jiwe anambonda nalo! Kwa hakika huu nao ni UTAMADUNI WA KITANGANYIKA. Inashangaza.
Mtaalam Kuna mbwa na Mbwa Msomi.
Hawa wanaozagaa zaga Ni kuwakanyaga Banza Stone tu.
Yaani ni hatari sana!Na kama wakinatiana ndiyo balaa watakimbizwa hata kilomita 5 na mawe juu
Kwa kwelii.Umeongea Ukweli mtupu moja kati ya Tabia inayonikera na Kuniumiza sana ni Kuonea Wanyama na Waathiriwa wakubwa wamekuwa ni Mbwa na Paka. Inabidi Programm ya dharura ianzishwe ili Kuvitetea hivi Viumbe.
Kwahiyo wasizae?Mtaalam Kuna mbwa na Mbwa Msomi.
Hawa wanaozagaa zaga Ni kuwakanyaga Banza Stone tu.
Kwa kwelii.
Watoto wamekuzwa kwenye UTAMADUNI WA KITANGANYIKA ambao umewaaminisha kwamba wanyama wanatakiwa kupigwa na kufukuzwa.
Huna akili, jitu zima lakini fyatu.Mbwa nikiwaona nawapiga mawe
Mbwa kureject ratiba iliyowakuza tangu utotoni....Hiyo lazima ikusumbue. Niliwarudisha walipowalea nao waliwauwa.Hao unaowaona wanazagaa ukifatilia kwa undani utakuta Tatizo lilianzia kwa Binadamu.
Wanakamata kuku kwa sababu hawapewi chakula.Hao watakuwa sio mbwa bali "mbwa"
koko wanaokamata kuku za watu mtaani
kwa hiyo wajumbe wanalipa kisasi.
Msimu wa mvua huu ...Hujasikia kesi za mbwa ?Kwahiyo wasizae?
Ndo hujakua sasaYaani ni hatari sana!
Hapo watabondwaa watachomwa spoku, wataingiziwa vijiti!!!
Lakini tutafanyaje, ndio UTAMADUNI WA KITANGANYIKA.
I wish i could be IGP! Niunde kikosi cha ulinzi wa wanyama.