wewe ina judge kwa kusikia kwenye redio one... mi majiji yote ya tz nimefika kasoro Tanga tu...
so naona kabisa kwa hadhi ya majiji mengine, mbeya nayo ni jiji...
sifa za jiji ni pamoja na idadi ya watu/makazi, pato la halmashauri, miundombinu, universities availability, shughuli za uzalishaji+viwanda nk...
uwepo wa foleni haipo kabisa kwenye sifa za jiji
Kyela au Mbeya?
Mkuu huoni hata haya? Katika kuanzisha majiji hawaangalii kuna hiyo unayoita mikokoteni au msangamano wa hayo magari.kwani issue ni nini? kusema Mbeya kuna mikokoteni mingi?
Nasema nilichokisikia...
Na nimeandika as i heard!!
Mkuu huoni hata haya? Katika kuanzisha majiji hawaangalii kuna hiyo unayoita mikokoteni au msangamano wa hayo magari.
Kuna vigezo na taratibu zinazotumika kuanzisha au kupandisha hadhi za mamlaka ya serikali za mitaa. Mfano vigezo vya kuanzisha jiji ni kama:
1. Idadi ya watu wasiopungua laki 5. 2. Uwezo wa kujitegemea kwa 95% kutokana na mapato yake ya ndani. 3. Na sifa nyingine, kama, kuwapo na makao makuu ya mkoa, maeneo ya utalii na kihistoria, kumbi za mikutano n.k.
Ili kuepuka aibu soma hapa: http://www.pmoralg.go.tz/informatio...a-za-Serikali-za-Mitaa-na-Historia-ya-MSM.pdf