Kwanini mauaji yamezidi kuongezeka nchini?

Kuna mwanamke askari huko Arusha aliyekodi majambazi kumuua mumewe ili aendelee kusagana.

Mm nadhani tatizo kubwa ni hizi NDOA mnazolazimisha kuzifunga ktk zama hizi ambazo ni za "utandauchi". Kwann mnaingia kwenye ndao??

Kataa ndoa uepuke kifo
Ndoa sio sababu na ni uzembe kudhania ndoa ndio inasababisha watu kuuana kwani mtu hawezi kutoroka na kuanza maisha pahala kwengine?

Shida ni changamoto za akili watu wanarundika sana mambo vichwani na muda mwingine unakuta shida alikuwa nayo hata kabla ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…