Ndugu Mlenge unaamini kwamba chanzo kikubwa cha matumizi ya mabavu ya taifa la Marekani dhidi ya mataifa mengine ni kuhakikisha sarafu yake ndiyo inakuwa nyenzo kuu ya biashara za kimataifa ???
Pili, unaposema kuilinda fedha yake ndiyo kipaumbele kikuu cha Marekani una maana kwamba siku fedha ya Marekani itakapoacha kutumika ndiyo utakuwa ndiyo mwisho wa taifa la Marekani ???
Ndugu Mlenge ni lini haswa sarafu ya Marekani imeanza kutumika kama nyenzo kuu ya biashara za kimataifa na sababu gani zilipelekea hadi ikawa hivyo ??? Halafu unaposema matumizi mengine ya mabavu huwa ni "coincidental" utauweka kwenye kundi gani ule ule uvamizi mkubwa wa kijeshi uliofanywa nchini YUGOSLAVIA mwaka 1999 (Huu na ule wa Afghanistani ulikuwa unahusianaje na matumizi ya dola ya moja kwa moja) ???Ndiyo MALCOM LUMUMBA , matumizi ya nguvu nyingi ni kuhakikisha sarafu ya Marekani inasalia kuwa kinara kwenye miamala ya kimataifa. Sababu zingine huwa ni coincidental.
Nadhani unaangalia mambo kwenye kurunzi ndogo, Marekani kama taifa limeanza kuwa kubwa hata kabla sarafu yake haijaanza kutumika kama nyenzo kuu ya biashara za kimataifa. Kiufupi Marekani limekuwa taifa lenye nguvu kubwa ya kimanunuzi duniani ukilinganisha na mataifa mengine (Purchasing Power Parity) mwaka 1872, ambapo ni miaka 42 kabla ya vita ya kwanza ya dunia na miaka 72 kabla ya vita ya pili ya dunia.Ndiyo MALCOM LUMUMBA, sarafu ya Marekani ikiacha kutumika, ndio utakuwa mwisho wa Marekani as we know it.
Nashangaa ulivyoleta The Secret Service ili kujenga hoja yako, lakini bado hujanishawishi kwasababu hichi chombo kilianzishwa mwaka 1865, kipindi ambacho sarafu ya Marekani haina nguvu yoyote ile. Kikubwa zaidi ambacho unasahau kuangalia ni kwamba chombo hichi kinafanya kazi ndani ya mipaka ya Marekani tu. Sasa labda uniambie kinahusikaje na matumizi ya dola kama nyenzo kuu ya biashara za kimataifa huku duniani ???Kumbuka, The Secret Service Marekani ilianzishwa kwa madhumuni gani. HINT: Haikuwa kulinda viongozi. Ilichukua miaka mpaka The Secret Service ilipoanza kulinda waheshimiwa. The Secret Service ilianzishwa kupambana na money counterfeiters. Currency is that important.
Ndugu Mlenge ni lini haswa sarafu ya Marekani imeanza kutumika kama nyenzo kuu ya biashara za kimataifa na sababu gani zilipelekea hadi ikawa hivyo ??? Halafu unaposema matumizi mengine ya mabavu huwa ni "coincidental" utauweka kwenye kundi gani ule ule uvamizi mkubwa wa kijeshi uliofanywa nchini YUGOSLAVIA mwaka 1999 (Huu na ule wa Afghanistani ulikuwa unahusianaje na matumizi ya dola ya moja kwa moja) ???
Bwana Mlenge nimesoma hizo nakala zote ulizoziweka hapa lakini bado sijaona ni wapi wameonesha moja kwa moja ni jinsi gani Marekani imepata faida za kiuchumi kama ambavyo unadai na kusema "Yes, It was about oil". Unapojenga hoja yoyote ni lazima utuwekee mifano halisi na vielelezo. Sasa utakuwa umetusaidia sana kama utatuwekea mifano halisi ya makampuni ya kimarekani ambayo yamepata tenda za mafuta kwenye jamhuri za Yugoslavia ya zamani, maana kwenye hizo nakala ulizoziweka sijaona mfano hata mmoja wa jinsi Marekani inanufaika na mafuta.Uvamizi wa Yugoslavia na Afghanistan sina mengi ya kuusemea kwa sasa, zaidi ya kwamba, when all is said and done, rasilmali ni kiini.
Potential for a Mining Boom Splits Factions in Afghanistan
Pipeline Politics: Oil, Gas And The US Interest In Afghanistan
Why is NATO at war with Yugoslavia? World power, oil and gold (socialists, but still... )
Yes, It Was About Oil
Bwna Mlenge bado unachanganya mambo, unanitajia The Secret Service chombo ambacho kinafanya kazi ndani ya mipaka ya Marekani pekee, lakini bado hujanielezea ni jinsi gani The Secret Service inafanya kazi ya kuhakikisha sarafu ya Marekani inakuwa ndiyo nyenzo kuu ya biashara ya dunia.The Secret Service imetajwa kwa vile ilianzishwa kwa ajili ya kulinda integrity ya sarafu ya Marekani. Hii ni kusisitiza umuhimu wa kulinda sarafu dhidi ya matatizo anuai, ni toka zamani. Kwa kuwa rasilmali (hasa mafuta na gesi) ni kipitishio muhimu cha uimara wa sarafu ya Marekani, hupelekea Marekani kuchukua hatua za kijeshi ili kulinda maslahi yake ya ki-sarafu.
Petrodollar recycling - Wikipedia
Uzi huu ni nadharia tu kiongozi MALCOM LUMUMBA ; karibu kuiboresha kwa kuikosoa nadharia hii au kuangalia iwapo inaelezea baadhi ya matukio muhimu duniani.
Indeed, Mr Mlenge it has to be reevaluated. Traditionally the wealth of a nation has always been measured in terms of gold (Bullions) and not currency. The Bretton Woods Agreement of 1944, proved that the world hasn't rid itself of centuries old mercantile practice.You are raising quite a number of valid observations, MALCOM LUMUMBA ; and probably the Dollar-War-Linkage theory needs to be reevaluated.
Theories will always be tentative, and it's imperative that we both agree in this. I was appalled when you made an assumption that all American wars are motivated by Imperial Ambitions (The Dollar to be precise), this is incorrect. But since you saw wisdom in the inaccuracy of your early assumptions, as a fellow erudite and scholar, on this strand I rest my case.Just to put records right the theory does not mean every war the US participates can singularly be explained by this theory. Nor does it mean for it to be valid, some US company must get some deals after a war.
IMHO, US is still the winner when nations trade with the US, and more importantly, amongst themselves using US$. The US gets its US Dollars through such means as Quantitative Easing; and uses it to get hard, cold resources such as oil, gas, minerals, rare earths and all such nice goodies. They'd be fools to simply let it go.
...I was appalled when you made an assumption that all American wars are motivated by Imperial Ambitions (The Dollar to be precise), this is incorrect. ...
Like I said refuted earlier, your theory is not comprehensive because it imprecise, not supported by tangible facts and parochial. Imprecise because both Saddam and Gaddafi have been at war with America more than twice, which time in history are you referring to Mr Mlenge ???The theory generalizes American wars, and by no means suggests ALL wars conform to the provisions of this theory. Apparently, the theory explains Gaddafi, Saddam, many other US foreign wars.
...
There's more to America's economy than the dollar, it has always been like that and still it remains like that now. America was already a great power before the Bretton Wood Convention of 1944 which made the dollar an official foreign reserve currency.
...
Since you have iced the conversation, I will end it here. Thou to my unspeakable dismay I must say : Ten years (10) now as an avid scholar of International Relations and Diplomacy, All I expected was facts and figures, not empty words cunningly twisted in a cocoon of fancy English. You propose a theory, support it with facts, this will pave way for a Hegelian Dialectic.Your posts use quite a number of straw-men arguments: you insinuate the arguments, and attack them as if they were the original subject of discussion. Probably we can now agree to disagree: I stand by the original post, and the theory it puts forward.
I rest my case.
Since you have iced the conversation, I will end it here. Thou to my unspeakable dismay I must say : Ten years (10) now as an avid scholar of International Relations and Diplomacy, All I expected was facts and figures, not empty words cunningly twisted in a cocoon of fancy English. You propose a theory, support it with facts, this will pave way for a Hegelian Dialectic.
Have a wonderful time Mr Mlenge.
It is plain bizarre. Where does this desperation for war come from?
There are many things driving President Bush and his administration to invade Iraq, unseat Saddam Hussein and take over the country. But the biggest one is hidden and very, very simple. It is about the currency used to trade oil and consequently, who will dominate the world economically, in the foreseeable future -- the USA or the European Union.
...
This debate is not about whether America would suffer from losing the US dollar monopoly on oil trading -- that is a given -- rather it is about exactly how hard the USA would be hit. The smart money seems to be saying the impact would be in the range from severe to catastrophic. The USA could collapse economically.
"World trade is now a game in which the US produces dollars and the rest of the world produces things that dollars can buy..."
The world is attached to a currency that one country can produce at will. This means that – in addition to controlling world trade – the United States is importing substantial quantities of goods and services for very low relative costs.
Thank you! Bretton Woods conference.
Milestones: 1969–1976 - Office of the Historian...the abandonment of the Bretton Woods fixed exchange rate system in favor of the current system of floating exchange rates.