Wananchi ndo wanaamuaIli ilweje mbona kuna viongozi wengi saana walio tamani kuendelea lakini hawajaruhusu jambo hilo litokee? Na kama litatokea ni bora na maraisi wastaafu warudi tena ili iwe raisi na kwao kujaribu tena bahati yao
Wananchi ndo wanaamua
Kama vipi ipigwe kura ya wananchi wanataka nini
Magu aruhusiwe kuendelea
Mkuu mbona katiba ya China ina zaidi ya miaka tangu imebadilishwa ili Xi awe rais wa maisha?China sasa hivi wapo kwenye mchakato wa kubadili katiba Xi Jinping aongezewe muda ngoja sasa pro Magu walisikie hili kwao ndio itakuwa kama vile ni uhalali na jamaa wao aongezewe muda.
Wakati hao watu wawili ukiwalinganisha ni kama mbingu na ardhi.
Aliyekwambia miaka kumi NI Haki ya kizaliwa ni nani.? Hii mifumo imewekwa na watu na inaweza kubadilishwa wakati wowote watu hao hao wakiamua. FullstopHaya anayoyafanya Magufuli kila mtu anaweza kuyafanya, na sio kuyafanya tu, hata demokrasia ataiiheshumu. Huko ccm watu wanaoweza kuyafanya haya ni wachache, sasa tatizo la ccm isiwe ni Tatizo la nchi nzima. Kiongozi mzuri huheshimu njia ya kukaa madarakani kihalali, lakini ukishaona kiongozi anakaa madarakani kwa kufubaza mifumo na kisha yeye kujigeuza ndio mfumo huyo ni mlevi wa madaraka kama walevi wengine. Huko ccm anaweza kuwa hata mwenyekiti wa maisha, na huo uwezo wake baada ya miaka 10, atauweka kwenye ilani ya chama chake utekelezwe. Ila mwisho ni miaka 10 fullstop.
[emoji23][emoji23] kura zikipigwa ww unazani magu atatoka ataendelea tuWananchi ndo wanaamua
Kama vipi ipigwe kura ya wananchi wanataka nini
Magu aruhusiwe kuendelea
Unaweza kuwa sahihi shida hatujaona mpaka Leo baada ya nyerere rais wa pili ni Magufuli wengine nadhan walikuwa viongozi wakuu wa nchiHaya anayoyafanya Magufuli kila mtu anaweza kuyafanya, na sio kuyafanya tu, hata demokrasia ataiiheshumu. Huko ccm watu wanaoweza kuyafanya haya ni wachache, sasa tatizo la ccm isiwe ni Tatizo la nchi nzima. Kiongozi mzuri huheshimu njia ya kukaa madarakani kihalali, lakini ukishaona kiongozi anakaa madarakani kwa kufubaza mifumo na kisha yeye kujigeuza ndio mfumo huyo ni mlevi wa madaraka kama walevi wengine. Huko ccm anaweza kuwa hata mwenyekiti wa maisha, na huo uwezo wake baada ya miaka 10, atauweka kwenye ilani ya chama chake utekelezwe. Ila mwisho ni miaka 10 fullstop.
Acheni ujinga nani anamawazo, malengo na maono kama Nyerere?Kumeibuka kundi kubwa la wazalendo wa nchi hii kutaka ukomo wa madaraka uondolewe kwenye katiba yetu ili kuruhusu Magufuli aongoze kwa awamu tatu au nne zaidi.
Hili sio jambo geni duniani. Hata Marekani wamewahi kufanya hivi mwaka 1940 Roosevelt alipochaguliwa kuongoza kwa awamu ya tatu na 1944 aliporuhusiwa kugombea kwa awamu ya nne bahati mbaya akafariki. Baada yake mfumo huo uliondolewa.
Sababu za kuongezewa muda ni zilezile tunazoziongelea Tanzania, Magufuli ni mfano wa viongozi aina ya Mao wa China, Nyerere wa Tanzania na Roosevelt wa Marekani. Hawa ni wajenga nchi.
Viongozi aina hii huchukua Muda kupatikana, ndio maana baada ya Mao wa China kiongozi mwingine wa aina yake ni huyu kapatikana kizazi chetu hichi na tunaona wachina wamemuondolea kabisa ukomo wa uongozi.
Tanzania baada ya Nyerere wamepita viongozi watatu hadi kuja kumpata mwingine mwenye mawazo, malengo na itakadi kama ya Nyerere, kwanini tusimuongezee muda ilihali Nyerere aliongoza kwa awamu zaidi ya nne kama tukihesabu miaka mitano mitano.
Mfumo wa uchaguzi ubaki kama ulivyo kila baada ya miaka mitano na pale Magufuli atakapochoka au kufariki katiba ibadilishwe kurudi kwenye mfumo tuliozoea hadi pale atakapopatikana mjenga nchi mwingine.
Shauri lililopo mahakamani lililofunguliwa na Mkulima ni shauri la kizalendo na lenye maana kubwa kuliko hoja za wanaompinga.
Wakati hoja kuu ya wapinzani ni Rais kubadilika pale anapogundua kaondolewa ukomo suala la uchaguzi kila baada ya miaka mitano nadhani linaweza imaliza hoja yao kabisa. Kama hawana imani na tume ya uchaguzi hio ni issue tofauti sana na kilio chetu wazalendo cha Magufuli kuondolewa term limit kwa faida ya nchi hii.
Ombi kwa wazalendo wengine wengi huu ni muda wa kuungana na Mkulima kimawazo, ushauri na kumuwezesha pale anapikwama ili asije akashindwa kwa vitu vidogo ambavyo tungeweza kuchangia.
Cwu.