Wale wazuri huwa chakula cha wagonjwa wakipona.
Mkuu umecomment hadi nimekuogopa!
Ujue hiki kisa niliwahi kushuhudia mwenyewe nikiwa nimelazwa wodini!
Hawana kinyaa, mgonjwa mwenye 'miela' hanyanyapaliwi!
Kusema 'muda wote wamenuna' ni kutoelewa siri ya mtungi!
Nununu hiyo huwa ni musk bandia, nyuma yake limehifadhiwa tabasamu la huba la kufa mtu, wajinga wajinga wasimzoee!
Ukigusia tu 'ishu', nununu inafutwa ghafla sana na kujengwa tabasamu la urembo hadi unajidharau na kujilaumu kukawia kutongoza!
Ukimwi ni wa kwako, kajihakiki kwa kupima ni wewe, toa hela upate utakacho, yeye haumuhusu!
Haijalishi wewe ni kiben10 ama kambabu kikongwe mkware unayeishia tu kukamatakamata!
Usiku kuna fujo humo mwenye mawodi! Wee acha tu!
Kuna wagonjwa ni wazima na wapo mle kubadili mazingira tu na manesi wanalijua hilo fika!