Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid?


Duuuuu, wazinzi wana mambo, yaani wanatafuta justification hadi kwenye vitabu vitakatifu, kazi kweli kweli!
 
Laiti ungalijuwa kuwa na wanawake wengi huvutiwa na makalio ya wanaume, ungeanza kutafuta "mchina". Binafsi huvutiwa sana na huyatamani makalio ya wanaume.
nina mashaka na mchango wako...cdhani kama ww ni mwanamke....hhahaaaaaaaaa
 
wajameni mbona siku hizi wanawake hawana aibu?sasa mtandaoni hivi vp kwenye malavidavi?teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…