Kwanini maiti inaelea majini?

Pongeza kwako kwa elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana nimejua kwanini sasa venue ilikuja kubadilika na kuwa ziwani Tanga na nyika. Baada ya hapo sijawahi kusikia tena wafu wakiokotwa kwenye sandarusi
Na ujuaji wako wote wa elimu ya giza hili hukuwahi kulijua au kuna kitu unajaribu kukishadidia?
 
Kinachotokea ni kuipiga na Kasia hasa maeneo ya Tumbo na kufumua kitambo,vinginevyo ukiicha mtakufa nae!
Staki maswali

[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kabisa kuna swali halafu una block
Haya, itabidi niende kwa wavuvi sasa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Na kwanini mtoto ambaye hajaanza Kula chakula huwa hazami!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mtoto ambaye hajaanza Kula chakula huwa hazami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…