Davmak! Umeuliza swala zuri sn, kwa kawaida uchunguzi unaofanyika kwa marehemu haulengi kwa kupatikana wa kuadhibiwa tu, lkn kwa kanuni za kiuchunguzi, km itabainika kwamba marehemu alikua na hatia ni lazima idara husika ianze kazi yke, may be ni mtandao mkubwa bali yeye marehemu kwa bahati mbaya tu ndie alifanikiwa kujitoa muhanga, tukubali ya kwamba katika matukio mengi hasa ya kijinai, kunakuwepo na mlolongo mkubwa wa wahusika, wakati ambapo mmoja au wawili hua km kielelezo tu, hivyo basi upo umuhimu mkubwa kwa marehemu kufanyiwa uchunguzi