zanzibar huru
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 218
- 108
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?
Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?
Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?
Wote ni taka taka tu, wachumia tumbo na wanafiki.
1. Mwakyembe: Serikali inataka kuniua; leo waziri katika serikali hiyo.
2. Magufuli: Mkikichagua CHADEMA Igunga, daraja halitajengwa. Umakini uko wapi?
Wote wanasumbuliwa na kutaka cheap popularity.
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?
Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?
Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?
Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?
Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?
Kwani ni kwa nini sasa unataka watoke CCM?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
There is no best Party like CCM,it is well organized and an exemplary to other parties in Africa !
Pia kwanini zitto na shibuda hawatoki chadema ambacho ni chama cha watakatifu?
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?
Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?
Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?
John Pombe Magufuli alihusika kwenye uuzaji wa nyumba za serikali zilizo jengwa kwa ajili ya watanzania wote;
Dr Harrison Mwakyembe alificha taarifa nyeti za ripoti ya Richmond ambayo inagusa maisha ya watanzania.
Hivyo,hawa jamaa hawana umakini wowote,ni mafisadi kama walivyo mafisadi wengine na wananchi lazima tuwe macho nao.
Si ajabu wao kubaki CCM kwani "Birds of the same feathers flock together".