Kwanini Magufuli na Mwakyembe hawatoki CCM?

Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?

Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?

Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?

Wote ni taka taka tu, wachumia tumbo na wanafiki.

1. Mwakyembe: Serikali inataka kuniua; leo waziri katika serikali hiyo.
2. Magufuli: Mkikichagua CHADEMA Igunga, daraja halitajengwa. Umakini uko wapi?

Wote wanasumbuliwa na kutaka cheap popularity.
 
sasa kwa nini wana JF wanawapenda sana hawa mawaziri wawili?

nashangaa wanavyosifiwa humu utafkiri kitu gani sijui
 
Mkuu,

Mbona umeuliza swali halafu ukalijibu wewe mwenyewe.

Kama mawaziri wake utendaji wao ni mzuri basi hicho chama kitakuwa pia kizuri.

Labda uboreshe swali lako
 
There is no best Party like CCM,it is well organized and an exemplary to other parties in Africa !
 
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?

Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?

Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?

Kwa hili umewashika wana JF pabaya

Unakumbuka tulivyoambiwa tu boycott makampuni ya Rostam kama Vodacom?

Sasa kiko wapi?

Tazama hapo chini fisadi Rostam naye anatangaza biashara zake JF

MASWALI MENGINE BORA MYAACHE TUU MAANA MNAWACHANGANYA WATU NA HUMU DOUBLE STANDARDS NDIO HOME
 
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?

Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?

Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?

Pia kwanini zitto na shibuda hawatoki chadema ambacho ni chama cha watakatifu?
 
mabadiliko ya kweli hufanyika ndani ya chama na sio nje ya chama coz ukiwa nje utaishia kuwa mpiga kelele tu
pia hoja ya mtoa mada ni dhaifu sana coz ni bias na anaonekana dhahiri ni chademist(mwana chadema) na anatamani hao watu wahamie chadema akidha ndo chama pekee cha upinzani...ukweli ni kwamba DR.MWAKYEMBE NA DR MAGUFULI wakiamua kuhamia SAU au CUF au NCCR MAGEUZI still mtaanza kuwatukana na kuwabeza......hoja yako ni DHAIFU SANA NA YA KITOTO SANA
 
Pia kwanini zitto na shibuda hawatoki chadema ambacho ni chama cha watakatifu?

kigezo gani ulichotumia kwa Zitto?tuelimishe ili tukuunge mkono au tukupotezee weza kuwa na mentality kama ya mtoto wa Mzee Jumanne Malecela,si unamjua
 
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?

Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?

Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?

mada yaweza kuwa nzuri jina la mtoa mada lanikwaza,angalia asijetokea mwingine Pemba huru au Tumbatu huru.
ngojea kwanza mapigo ya moyo yatulie labda ntarudi baadae kuwajadili hao wachumia matumbo
 
John Pombe Magufuli alihusika kwenye uuzaji wa nyumba za serikali zilizo jengwa kwa ajili ya watanzania wote;
Dr Harrison Mwakyembe alificha taarifa nyeti za ripoti ya Richmond ambayo inagusa maisha ya watanzania.
Hivyo,hawa jamaa hawana umakini wowote,ni mafisadi kama walivyo mafisadi wengine na wananchi lazima tuwe macho nao.
Si ajabu wao kubaki CCM kwani "Birds of the same feathers flock together".
 
hili nalo nenoooooo
 
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?

Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile chama?

Itawezekana kweli mtu uka enjoy matunda ya chama cha mafisadi bila ya wewe kuwa fisadi?

Mkuu walio wengi nchini ni wanachama wa CCM.
Ukijiaminisha kuwa wote ni mafisadi ni kama mtu anayeamini kuwa maji yote yana sumu, kwa hiyo hanywi maji.

Ji-misdirect at your own peril.

Kwa taarifa yako ni rahisi zaidi kwa Dr Slaa kuingia CCM kuliko Dr Magufuli na Dr Mwakyembe kuondoka CCM.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom