Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Na wao wapumzike tuusijuiii labda
"wakati namsikiliza raisi wangu " nilimsikia akitamka ya kwanga mutalemwa kuachia ngazi na sasa anataka vijana ili aweze kukimbizanao hivyo akamuomba apumzikeee ""
Lakini pia raisi wangu nakuomba pia ungewapumzisha pembeni wazee kama akina mwakiembe, mrema, kabudi, mahiga na wengine wengi wanatakiwa kuachia ngazi
Hizoo nafasi wapewe vijana?
Hivyo kama ananisikia huu ni muda wa waziri mwakiembe na mrema wajiuzulu kupisha hizo nafasi waingie vijana ?
Tunashukuru sana kwa michango yao katika kujenga taifa hivi sasa ni muda wao wa kuachia ngazi?

Inaonyesha hamtaki kabisa Mutalemwa yaani Rais anadai amekua akimsikia Mutalemwa tokea akiwa Sekondari, inamaana Mutalemwa alikua ofisini kama CEO kipindi Magufuli yupo Sekondari? au alikua anatania kama ilivyo kawaida yake?"wakati namsikiliza raisi wangu " nilimsikia akitamka ya kwanga mutalemwa kuachia ngazi na sasa anataka vijana ili aweze kukimbizanao hivyo akamuomba apumzikeee ""
Lakini pia raisi wangu nakuomba pia ungewapumzisha pembeni wazee kama akina mwakiembe, mrema, kabudi, mahiga na wengine wengi wanatakiwa kuachia ngazi
Hizoo nafasi wapewe vijana?
Hivyo kama ananisikia huu ni muda wa waziri mwakiembe na mrema wajiuzulu kupisha hizo nafasi waingie vijana ?
Tunashukuru sana kwa michango yao katika kujenga taifa hivi sasa ni muda wao wa kuachia ngazi?
Imagine....wanadhani degree zao ndio kila kitu. Kijana, hawa wa sasa? Kuingia kwenye viatu vya Maiga??? Ataanzia wapi???Vijana wenyewe ndo hawa akina makonda na polepole
Mkuu kwani hao kina kabudi wamesaidia nni hili taifa mwaka wa hamsini huu tupo maskini??? Kuna watu wengi tu wenye uwezo ila sio wanasiasa mkifanya sourcing mtawapata ila kutuaminisha kuwa mahiga hana replacement unakuwa hututendei haki kwani kabla ya mahiga wizara yake ilikuwa empty?? Na toka ameingia kuna mabadiliko gani ya kututisha sana mpka tuone he is irrepleceableHivi tuseme ukweli vijana ambao tunataka waachiwe nchi kwenye nafasi kama za akina Mahiga na Kabudi wako wapi?
Hebu ntajie angalau vijana watano wenye uwezo wa kuvaa viatu vya Balozi Mahiga na Prof Kabudi!
Kwani hao akina MAHIGA NA KABUDI wamesaidia nini? AHivi tuseme ukweli vijana ambao tunataka waachiwe nchi kwenye nafasi kama za akina Mahiga na Kabudi wako wapi?
Hebu ntajie angalau vijana watano wenye uwezo wa kuvaa viatu vya Balozi Mahiga na Prof Kabudi!
Mkuu kwani hao kina kabudi wamesaidia nni hili taifa mwaka wa hamsini huu tupo maskini??? Kuna watu wengi tu wenye uwezo ila sio wanasiasa mkifanya sourcing mtawapata ila kutuaminisha kuwa mahiga hana replacement unakuwa hututendei haki kwani kabla ya mahiga wizara yake ilikuwa empty?? Na toka ameingia kuna mabadiliko gani ya kututisha sana mpka tuone he is irrepleceable
Kwani hao akina MAHIGA NA KABUDI wamesaidia nini? A
Mbona nchi bado ni masikini