Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
"Wakati namsikiliza rais wangu " nilimsikia akitamka ya kwangu Mutalemwa kuachia ngazi na sasa anataka vijana ili aweze kukimbizanao hivyo akamuomba apumnzike ""
Lakini pia rais wangu nakuomba pia ungewapumzisha pembeni wazee kama akina mwakiembe, Mrema, Kabudi, Mahiga na wengine wengi wanatakiwa kuachia ngazi hizoo nafasi wapewe vijana?
Hivyo kama ananisikia huu ni muda wa waziri Mwakiembe na Mrema wajiuzulu kupisha hizo nafasi waingie vijana?
Tunashukuru sana kwa michango yao katika kujenga taifa hivi sasa ni muda wao wa kuachia ngazi?