Kwanini Rais Magufuli aliondoa bilioni 500 za mzunguko nchini? Ana dhamira gani?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Najiuliza sipati jibu kwanini rais aliamuru bilioni 500 za mzunguko ziondolewe na B.O.T?
Zile pesa zilisaidia mzunguko wa pesa kuwa mzuri leo pesa hatuioni mtaani
Kwanini achukue fedha za mzunguko akanunulie ndege aache watu wakiwa na hali ngumu hivi?
Kwanini mtu mmoja tu asababishe mamilioni ya watanzania waishi kwa dhiki kiasi hiki
Vibarua hamna pesa haionekani
Maduka siku hizi wenye maduka mtakua mashahidi hamna mauzo kabisa yaani mtu anaona bora afungue saa 1 mpaka saa 3 halafu. atafunga siku nzjma jioni ndo atafungua biashara tena.
Namuwazia huyu mtu simpatii jibu dhamira yake ninini?
Mungu ni mwema sana nimeshajua moyo wake ukoje
Bado swali ni lile lile dhamira yake ninini alivyoondoa hela,za mzunguko zote?
Nawasilisha
 
KUMBE ALIPUNGUZA PESA KATIKA MZUNGUKO HALAFU AKANUNUA NDEGE,MASKINI HAKUJUA KUWA WATANZANIA TUNA ALEJI NA NDEGE???
 
Najiuliza sipati jibu kwanini rais aliamuru bilioni 500 za mzunguko ziondolewe na B.O.T?
Zile pesa zilisaidia mzunguko wa pesa kuwa mzuri leo pesa hatuioni mtaani
Kwanini achukue fedha za mzunguko akanunulie ndege aache watu wakiwa na hali ngumu hivi?
Kwanini mtu mmoja tu asababishe mamilioni ya watanzania waishi kwa dhiki kiasi hiki
Vibarua hamna pesa haionekani
Maduka siku hizi wenye maduka mtakua mashahidi hamna mauzo kabisa yaani mtu anaona bora afungue saa 1 mpaka saa 3 halafu. atafunga siku nzjma jioni ndo atafungua biashara tena.
Namuwazia huyu mtu simpatii jibu dhamira yake ninini?
Mungu ni mwema sana nimeshajua moyo wake ukoje
Bado swali ni lile lile dhamira yake ninini alivyoondoa hela,za mzunguko zote?
Nawasilisha
Inawezekana hana nia yeyote mbaya lakini hajui madhara/athari zake katika uchumi ingawa mwanangu wa form V (17 years) anayesoma EGM alinifafanulia vizuri kabisa madhara/athari za kuondoa billion 500 katika mzunguko katika uchumi mdogo na dhaifu kama wa Tanzania.
 
huyu dikteta ana nia mbaya mara nyingine
 
Aisee jamani naombeni mnieleweshe hiyo bilioni 500 inaondolewaje ktk mzunguko . Sijaelewa yani. Somo la uchumi nipo shalo
 
Aliweza kuondoa bila kujai kwakuwa mshahara wake uko palepale na huduma zote anapata bure. Mtu wa aina hiyo hajui madhara ya alichokifanya. Pia tukumbuke jamaa sio mchumi kabisa na hata akifungua mradi utachukua muda mfupi sana kufa. Huyo amezoea kuajiriwa kwa hiyo hajui chochote nje ya ajira.
 
Najiuliza sipati jibu kwanini rais aliamuru bilioni 500 za mzunguko ziondolewe na B.O.T?
Zile pesa zilisaidia mzunguko wa pesa kuwa mzuri leo pesa hatuioni mtaani
Kwanini achukue fedha za mzunguko akanunulie ndege aache watu wakiwa na hali ngumu hivi?
Kwanini mtu mmoja tu asababishe mamilioni ya watanzania waishi kwa dhiki kiasi hiki
Vibarua hamna pesa haionekani
Maduka siku hizi wenye maduka mtakua mashahidi hamna mauzo kabisa yaani mtu anaona bora afungue saa 1 mpaka saa 3 halafu. atafunga siku nzjma jioni ndo atafungua biashara tena.
Namuwazia huyu mtu simpatii jibu dhamira yake ninini?
Mungu ni mwema sana nimeshajua moyo wake ukoje
Bado swali ni lile lile dhamira yake ninini alivyoondoa hela,za mzunguko zote?
Nawasilisha
Dah..Hizo pesa aliziondoa ondoaje? Tufafanulie tafadhali.......:cool:
 
Ulishaambiwa ana moyo wa.......! what do you expect?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom