Kwanini magari ya serikali yaliitwa mashangingi?

Chambo81

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
441
Reaction score
200
Wadau nimekuwa najiuliza sana chanzo ya jina "SHANGINGI" kwa hizi VX za serikali maana nimekua nimekuta hili jina haya magari yanaitwa mashangingi.

Kwa anayejua anijulishe tafadhali!
 
Ni jambo la kusubiri na kuona itakuaje utapata majibu mda sio mrefu kuanzia hivi sasa ngoja waamke vizuri.
 
Wadau nimekuwa najiuliza sana chanzo ya jina "SHANGINGI" kwa hizi VX za serikali maana nimekua nimekuta hili jina haya magari yanaitwa mashangingi.

Kwa anayejua anijulishe tafadhali!

Ha ha ha lazima utakuwa umezaliwa late 80s au early 90s. Ni hivi longtime zilipoingia zile Nissan patrol SGL D ndio zilikuwa gari za kwanza kuwa na Yale mashavu kwenye wheel arches nafikiri unanielewa sasa Kule kuvimba kwa hizo gari kukafananishwa na shangingi, mwanamke mwenye mahips na makalio makubwa.....baadae ndio zikafuata VX zilizovimba ukiangalia GX haina Yale mashavu, kuanzia wakati huo hadi Leo jina hilo limrkuwa Kama jina halisi LA hayo magari
 
Ha ha ha lazima utakuwa umezaliwa late 80s au early 90s. Ni hivi longtime zilipoingia zile Nissan patrol SGL D ndio zilikuwa gari za kwanza kuwa na Yale mashavu kwenye wheel arches nafikiri unanielewa sasa Kule kuvimba kwa hizo gari kukafananishwa na shangingi,mwanamke mwenye mahips na ma.tako makubwa.....baadae ndio zikafuata VX zilizovimba ukiangalia GX haina Yale mashavu,kuanzia wakati huo hadi Leo jina hilo limrkuwa Kama jina halisi LA hayo magari

Na kile kitendo cha kubinuka kwa nyuma, yaani ni kama demu mwenye "kibuno"
 
2007-2008_Toyota_Landcruiser_(VDJ200R)_VX_02.jpg

limekaa kim'binuko kwa nyuma kama de m u ma la y a
 
Ha ha ha lazima utakuwa umezaliwa late 80s au early 90s. Ni hivi longtime zilipoingia zile Nissan patrol SGL D ndio zilikuwa gari za kwanza kuwa na Yale mashavu kwenye wheel arches nafikiri unanielewa sasa Kule kuvimba kwa hizo gari kukafananishwa na shangingi, mwanamke mwenye mahips na makalio makubwa.....baadae ndio zikafuata VX zilizovimba ukiangalia GX haina Yale mashavu, kuanzia wakati huo hadi Leo jina hilo limrkuwa Kama jina halisi LA hayo magari

Asante mkuu kwa kunielewesha…ni kweli vijana wa 80s kuna mengi tunashangaa tu mi nilikua nafikiria kwamba labda madereva wa hayo magari walikua wanayatumia vibaya hususan kwa mambo yetu yaleeee!!
 
Pia matumizi yake yaani Mafuta na maintenance cost ni sawa na kumtunza shangingi
 
Ha ha ha lazima utakuwa umezaliwa late 80s au early 90s. Ni hivi longtime zilipoingia zile Nissan patrol SGL D ndio zilikuwa gari za kwanza kuwa na Yale mashavu kwenye wheel arches nafikiri unanielewa sasa Kule kuvimba kwa hizo gari kukafananishwa na shangingi, mwanamke mwenye mahips na makalio makubwa.....baadae ndio zikafuata VX zilizovimba ukiangalia GX haina Yale mashavu, kuanzia wakati huo hadi Leo jina hilo limrkuwa Kama jina halisi LA hayo magari

Kwa kuongezea, zamani mashangingi yalikuwa majimama yenye pesa na yalikuwa yanatumia pesa hasa. Ukilinganisha na mashangingi ya sasa ni kwamba kama huna pesa ya maana hilo gani huliwashi wala hulisogezi.

Huduma yake ni kufuru.
 
Back
Top Bottom