Kwanini maaskari polisi hawafanyi ibada ukitofautisha na wanajeshi?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Habari zenu wakuu.


Nimekuwa nikifanya utafiti kwa muda mfupi na kugundua kuwa wengi wa maafisa wa polisi hawafanyi ibada za dini zao iwe kwenda msikitini ,kanisani au kwenye ma tempo na kuona utofauti kidogo katika idara ya jeshi la nchi husika maafisa wake baadhi hujishughulisha na ibada ya hapa na pale hata kama sio endelevu, mfano US baadhi ya marine wengi hujishughulisha na kwenda makanisani na hata baadhi ya wanajeshi wa kijerumani hufanya ibada misikitini kimagumashi na vivyo ivyo wanajeshi wa mataifa ya kiarabu na tz pia. Lakini issue inakuja sasa kwa hawa wazee wa usalama wa raia yaani hawa ndo sijawahi kabisa kuwaona makanisani.
 
Aisee kweli kabisaa
Kuna wanajeshi wengi tu nnaowajua ni walokole,lakini hawa tigo duuh hata mmoja simjui mlokole inaonesha wanaenda kanisani kimagumashi sanaa
 
ha! ha! ha! tigo mlokole, jamaa wapo kidunia zaidi.

Aisee kweli kabisaa
Kuna wanajeshi wengi tu nnaowajua ni walokole,lakini hawa tigo duuh hata mmoja simjui mlokole inaonesha wanaenda kanisani kimagumashi sanaa
 
Hawa madhulmat sana,wanawaza pesa tu,mungu baadaye au wakipatwa na dhoruba ndo utaona mara moja kwa mwez masjid au kanisan.
 
Back
Top Bottom