Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Nashangaa sana, CCM wamesema watashindankwa goli la mkono,kisha watashinda kwa ushindi mkubwa. Lakini bado wanaendelea kurusha mawe kwa Lowassa ,Lowassa ambae ameishawapuuza, Lowassa hana habari na CCM .
Lowassa ni kipenzi cha wengi sana ndani ya CCM hadi anaondoka ndani ya Chama hicho Lowassa alikuwa na marafiki wanyonge walio ndani ya CCM na mabo alikuwa nao bega kwa bega, upendwaji huo wa Lowassa ndio wale wasio mtakia mema wakazidi kumfuata na kutaka kumtenganisha na wengine aonekanee hafai.
Hilo halikuwezekana ndipo wabaya wake walipoona Lowasa hazuiliki tena na Uraisi kupitia CCM ataukwaa bila ya kizingiti chochote kile ,wabaya wake wakatumia njia ambayo walikuwa na nafasi nayo kutolifikisha jina llake katika wagombea URAISI ndani ya NEC ya CCM.
Lowasa aliejulikana kwa mikakati yenye tija aliona hana njia isipokuwa ajipeleke UKAWA ambako huko alipokelewa kama Mtanzania mwengine kutokana na umaarufu wake kama aliokuwa nao Sokoine alikubalika na kupewa bendera ya kuipeperusha UKAWA kuwa mgombea wao na sasa wa Tanzania wameamua kufanya MABADILIKO watanzania wameamua kwenda nae na kumkabidhi URAISI alimuradi CCM iondoke.
Kuondoka kwa Lowassa CCM kumezidi kuwapa wakati mgumu wabaya wake na kuona hawakufanikiwa kumzima Lowassa na sasa ni mtaimbo unaowaangamiza CCM kwa kasi ya ajabu ambayo hawakuilalia wala kuiamkia.
Leo hii waTanzania wanasema liwalo na liwe Raisi ni Lowassa ,CCM miaka 50 imetosha.