KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,151
Hebe hilo swali muulize mumeo chumbaniNimewaona makada Wa chama john magufuli na wassira wamemaliza zoezi la kusaka wadhamini na kurejesha fomu.Swali likanijinia kwanini lowassa anastruggle kukamilisha zoezi hilo jepesi tu licha ya kuonekana ana resources za kutosha?
ni pepo tunalikemea!!!!!!!!!!!Kwann na nyie hamuishi kumtaja Lowassa kila uchao,au ni mwiba kwenu
Lowassa hatafuti wadhamini, anapiga Kampeni.
he show them na bado DSM Kitanuka
Nimewaona makada Wa chama John Magufuli na Wassira wamemaliza zoezi la kusaka wadhamini na kurejesha fomu.
Swali likanijinia kwanini Lowassa anastruggle kukamilisha zoezi hilo jepesi tu licha ya kuonekana ana resources za kutosha?
Kwann na nyie hamuishi kumtaja Lowassa kila uchao,au ni mwiba kwenu
he show them na bado DSM Kitanuka
Mnachanganya mambo,wadhamini wanaotakiwa ni 30 tu kwa kila mkoa!Mmmh kweli mkuu? Mi sijui mambo ya siasa lakini Lowasa si ndio anapata wadhamini hamsini elfu mikoani huko na hao uliowataja wanapata elfu mbili-mbili?
Hv huyu nae ni greater thinker?