Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, waziri mkuu mstaafu anagombea urais tena kupitia upinzani. PM ni mtu mwenye siri nyingi za serikali hivyo anapaswa kuchunga ulimi asije akaropoka. Uchaguzi huu viongozi wa ccm kama mafarisayo watamtega sana Lowasa ili kwa kauli zake wamtie kizuizini. So wananchi waelewe tofauti na Magufuli au Dovutwa, Lowasa kuna viapo na kanuni za kiusalama wa nchi zinazombana kama kiongozi mkuu msaidizi mstaafu. Thats why Mkapa alipanic baada ya Sumaye kuihama ccm
Lowasa hataki kujifunza uimbaji taarabu kama aliyekua mkuu wake wa zamani . sababu ukimwona mtu anaongea sana jua hua nimwongo siku zote . Mzee lowssa yeye anajua kufanya kazi tu wapiga ngonjera wanajulikana Mara picha za kutengezwa mara moto wa mabua .
Gonjwa hilo akisimsma kwa dakika45 nitakiunga na ukawa. Hawezi afya alipofikiya siyo rafiki ni mgonjwa sana ila mama wa kiringa analazimisha .vinginevyo ataondoka kwani masai yule kwao hakuna mvaa gauni
Hakika, afya yake si shwari hata kidogo!
then why anaongea kama roboti?