johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,522
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, waziri mkuu mstaafu anagombea urais tena kupitia upinzani. PM ni mtu mwenye siri nyingi za serikali hivyo anapaswa kuchunga ulimi asije akaropoka. Uchaguzi huu viongozi wa ccm kama mafarisayo watamtega sana Lowasa ili kwa kauli zake wamtie kizuizini. So wananchi waelewe tofauti na Magufuli au Dovutwa, Lowasa kuna viapo na kanuni za kiusalama wa nchi zinazombana kama kiongozi mkuu msaidizi mstaafu. Thats why Mkapa alipanic baada ya Sumaye kuihama ccm