SuperSport hawajawapa udhamini kama nchi ulizotaja.Kwa sababu hapa kwetu mfumo wa ligi unaendeshwa na chama za soka TFF badala ya kutumia kampuni,kama kwa nchi zingine zinavyofanya!!
Tatizo ni Viongozi wa hili soka letu la bongo,kuanzia TFF wenyewe mpaka wa Club...wanaona wakitengeneza mipango ya Ligi kuonyeshwa kwenye runinga watu wengi hawatakwenda viwanjani kwahiyo watakosa mapato.