Kwanini Ligi isingesogezwa mbele

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,931
Reaction score
5,350
Mpaka muda huu klabu zote 14 za ligi kuu hazijapewa pesa za usafiri jezi nk. Kuna umuhimu gani wa ligi kuanza wakati hata mkataba wa udhamini haujasainiwa?? Je vodacom wataweka mabango yao ilhali hawajachangia hata senti tano kwa vilabu?? Waamuzi je? Watafikaje vituoni? Watajilimu vp?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwanini ligi iendelee kuitwa vodacom pl wakati hata mia hawajatoa. Au wemekopeshwa TFF.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…