ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,467
- 28,902
80% ya nchi ya Jordan ni sehemu ya iliyokuwa BRITISH MANDATE OF PALESTINE kabla ya wayahudi kurudi kwao. Kwanini leo hamas ahangaiki kuikomboa Jordan?
Ndio hapo utakapogundua itikadi ndio inayocheza nafasi.
Ni ugaidi unaofanyika katika kivuli cha kutafuta haki na ustawi
Ndio hapo utakapogundua itikadi ndio inayocheza nafasi.
Ni ugaidi unaofanyika katika kivuli cha kutafuta haki na ustawi