Kwanini lakini we mwanamke?

Ndoa yenu bado ina utoto mwingi. Nisamehe bure kwa ukweli niliokwambia.
 
Wewe ni me au ke maana habari haieleweki [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
nipe number ya cm ya mkeo ili nimfundishe maadili ya ndoa
 
kakupanda kichwani huna maamuzi ya kiume ndio maan anathubvutu kuchukua simu yako na kutongoza.....huyo ashakupanda kichwan na hujielewi
 
Ha ha kazi unayo jombaa,mkomeshe nafuta demu kula mzigo harafu jirekodi, hizo video na picha zisevu...akiomba simu mpe atayokutana nayo ndiyo dawa yenyewe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…