Jamani jamani yani mke mwanamke wangu anapenda sana kuchunguza cm yangu text zangu afu pia akiona namba ya mwanamke kwenye cm yangu akimtilia shaka tu basi anamtongoza kupitia cm yangu alafu anafuta text walizo chart mimi sina habari yani badae ndio naanza kupokea lawama kwakweli ananikera ninaweka password kila mara hadi kero ni program gani nitumie au njia ipi ili nmdhibiti