Kwanini kwangu tu mimi, nimekosea wapi?

kama si muda wa kuolwa basi hizo mtu sahihi ni kuongea tu...atakuja mtuawe na relation ila sindoa...ndoa haiji tu hivi hivi...hivo kama huwzi uwa single ni facts kwamba uta do tu....so usiweke sana mambo yako waziiiiimaana skendo inatwza kuwa mtu alikutaka hajakupata akaamua aanzishe...au anakupa skendo ila naye walewale anachezea watoto wa watu...so achana na magroup fulani ya watu....date watu wenye akili zao kama mimi
 
Jamani mbona mko hivyo?huyu mtu yuko deeply depressed asaidiwe tu! Hayo mashairi yake yasiyo mpangilio ni kuthibitisha tafrani alilonalo.
 
Tatizo unapenda sana kujishughulisha na watu wa nje unashindwa kuwa busy na huyo umpatae, 'laiti' kama watu wote tulioko kwenye mahusiano tungelikuwa tunasikiliza ya nje tusingekuwa tunapendana. Maneno ya nje husemwa mengi sana.
 
mleta mada ni raia au mwenyeji wa wapi?kiswahili chako ni kibovu sana kueleweka.
Ni Mtanzania halisi talentboy,pole sana nimekuchosha nakiswahili
Kibovu sana elimu yngu ndogo sana
 
Nashukuru kwa mchango wako afande kifimbo
 
Ni Mtanzania halisi talentboy,pole sana nimekuchosha nakiswahili
Kibovu sana elimu yngu ndogo sana
dah,umejibu kwa huruma sana mpk nimejisikia vibaya aise!pole though kwa yanayokukuta.
 
Division five at work!
 
Yataka kumusi ili mtu akuelewe
 
Wewe kwa kuficha umri ni bado unasoma, haya nenda kasome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…