Kwanini kwangu tu mimi, nimekosea wapi?

Miaka 17-24 wanaume watano! Hiyo 4 imeongezwa tu, usikute ana miaka 18 au 20 huku akiwa amewahi kutoka na wanaume watano. Kweli vijana sasa ni janga.
 
Wachache sana hao endelea kujifunza radha mbalimbali mpaka upate itakayokufaa
 
Tulia deal na shule
na usi date watoto wenzio tena
usi date wanafunzi

mashuleni ndo kuna mambo ya scandal za umalaya
uraiani kila mtu na maisha yake
 
Hilik
Hili ndo jibu kwa kinachomsibu..
 
Nashukuru sana sumbai umenielewa japo Kua nimekupa shida ya
Hapa na pale kwenye kunielew...
Umenitenda haki kwa ushauri
Ulio nipa sna sna kwa mujbu wamaelezo yngu yattzo ansate sna sumbi...umeniongeze kitu sijabki
Nilivo
 
Nashukuru sana sumbai umenielewa japo Kua nimekupa shida ya
Hapa na pale kwenye kunielew...
Umenitenda haki kwa ushauri
Ulio nipa sna sna kwa mujbu wamaelezo yngu yattzo ansate sna sumbi...umeniongeze kitu sijabki
Nilivo
shukrani kwa kunielewa...
take care
 
Yaani story hata haieleweki umemaliza darasa la ngapi wewe
 
Kwani wewe ni Malaya kweli?
Ngoma umepima huna...
Kwani una pepo la ngono kweli?

Kwa maneno yako ni kwamba washakulalia wengi wengi hadi viziwi, na wenye skendo...

Mkuu..
Kwahilo angalizo lako namie naliunga mkono..
Huyu ni mcharuko anajaribu ku justify madhambi yake..
Swali La msingi kwanini Kapima ngoma...??
 
mleta mada ni raia au mwenyeji wa wapi?kiswahili chako ni kibovu sana kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…