Habar wadau bila shaka mu wazima katika ubora wenu
Nimekuja humu angalau nipate
Mwanga naona stress zimenizid
Umri wangu...
Nimeshakua kwenye mahusiano
Na watu chini ya tano km sikosea
Kwa umri wangu (17-24) mambo yanayonipata sasa ndo yananiplekea nije kupata mwanga naushauri humu kwajukwaa
Mambo yenye ni kma haya
-skendo zinaaza za hapa na pale
Kua mwanamke Malaya saana;
Mara atakua na ngoma si bure;
Mara atakua napepo la ngono;
-wengine ni mapungufu yakibndamu siwezi mkoso mungu
Kwa ilo laumbaji ni wachache pia nilikua nao (viziwi,kumbuku ndogo,n.k)ni wachache sina
Tatizo nao kbisa(honestly)
-Tatzo kubwa Lipo kwa hao waskendo Lina niumiza limenipeleke kuona ninakanuksi labda maana imenikuta sana
Nimepumzka kwa sasa ni miezi imepita kwakwel...
Nimecheck afya iko vizur Lakin nahisi nibahati yngu pia lkn skendo kwa hao ninakua nao linarudisha nyuma sana
Lisemwalo Lipo ndo wasiwasi wangu (waswahili)wadau haya mambo yakoje kwenu nidalili gani huko baadae linaniwazisha sana
Happy Valentine's day to all!