Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Haaaaaa sijashangaa ila nimecheka tu jinsi ulivyomjibu uyo jamaa anaewazeesha wanawake wenye umri 30yes yes bado ni vijana, unashangaa nini au hujui ujana unaishia ngapi?
kila mtu awe huru bhana tunaishi nchi huru
teh teh
kweli kabisa aache hizo maneno mbovu mbovuHaaaaaa sijashangaa ila nimecheka tu jinsi ulivyomjibu uyo jamaa anaewazeesha wanawake wenye umri 30
na hicho ki avanter chako niliona unavyotoa macho ya kushangaaHaaaaaa sijashangaa ila nimecheka tu jinsi ulivyomjibu uyo jamaa anaewazeesha wanawake wenye umri 30
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ndo kilikuchanganyana hicho ki avanter chako niliona unavyotoa macho ya kushangaa
teh teh
Kabisa maana suala la ndoa ni kuomba tu kumpata asiye na matatzo mobu haijalishi awe single mother au bintikweli kabisa aache hizo maneno mbovu mbovu
hahahahahah asante mkuu, watu wamezoea kucremu mambo, unaweza olewa na 30+ na ukawa na amani na furaha sana kwenye ndoa
umenikumbusha mbali na hiyo mobu, napenda sana kuwasikia vijana wa kisii wakisemanga hivyoKabisa maana suala la ndoa ni kuomba tu kumpata asiye na matatzo mobu haijalishi awe single mother au binti
hahahahahahahha yes, niliangalia post na avanter basi nikachanganyikiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ndo kilikuchanganya
Haaaaaa mi uwa napenda sana kiswahili ya kikenya, uwa naenjoy sana kuangalia taarifa zao za habari kuanzia saa 1 usiku na maigizo yao.umenikumbusha mbali na hiyo mobu, napenda sana kuwasikia vijana wa kisii wakisemanga hivyo
Mi niko poa na sijui wewe uko ulipo? Ngoja nije nirudishe avatar iliyozoelekahahahahahahahha yes, niliangalia post na avanter basi nikachanganyikiwa
BTW uko aje pande hizo?
From my understanding, the only important thing to a woman ni material staff na her kids...mtu ackudanganye eti ni a man....Pale eden baada ya mwanamke kumsikiliza shetani, Mungu alimpa laana 3 mojawapo ni tamaa zake juu ya mwanaume nae atamtawala. Ndo maana mpk leo mwanamke anaona mwanaume ni wa thamani kuliko chochote kwake, bila kujali mwanaume huyo anamtesa yeye bado ataganda hapo.
Ukipata ndoa lkn kupata mtoto ikawa issue vepe?Ni mentality tu ilojengeka ktk jamii zetu enzi na enzi, hivyo historia ndio inatuathiri. Kingine wanawake tuna biological clock, maana lengo la ndoa ni ili muwe na familia(watoto) sasa kwetu wanawake kuna umri ukifika kuzaa ni taabu au hauzai kabisa. Ndio maana masuala ya kutusakama na umri hutokea.