Kwanini kinyesi cha binadamu hakitumiki kama mbolea?


Asante kwa ufafanuzi mkuu!.
 
Bora kutumia cha wanyama kuliko cha binadam,Mtu anashindia valuu na kiroba..sasa unategemea hiyo mbolea ikuzie nini?
 
Wanasayansi wakifanikiwa hilo hapa Tanganyika, mikoa itakayo zalisha umeme kwa wingi kutokana na wingi wa mavi ni;
1. Dar es salaam, hii ni kutokana na wingi wa watu
2. Mbeya, hii ni kutokana na watu wa kule kunya mavi makubwa sana.
3. Iringa, hii ni sawa na Mbeya.
4. Tabora, ni kama Mbeya, tofauti ni kwamba wanakunya kunya sana, mtu anaweza kwenda chooni mara sita kwa siku.
5.Kagera, nshomile wanakunya sana.
6. Kilimanjaro, hawa wanapenda sana kula na kunywa automatically watakua na reserve kubwa ya kinyesi.

Mikoa hiyo sita inaweza kuzalisha megawati 2000 ikaingizwa grid ya taifa mgao ukaisha.
 
dah! kweli kichwa ndio mtu,na watu wa mkoa wa mara wanaokula ugali wa mtama? au watavunja mtambo,manake wanadai kimba ya mtama ni ngumu kama nondo ya kutengenezea daraja
 

Hizi dharau sasa
 

Hhahaha huuuu
 

Bila shaka umezungumza kitaalamu zaidi as far as your ID is concern.
 

Kunya = kujisaidia
Mavi = kinyesi
 

nimecheka hadi nikasahau kwamba junakikao cha mafisadi Idodomie
 



Nimecheka sana,hasa ukokutana na Mkinga
 

Basi kumbe haina haja ya serikali kuingia garama ya kuagiza mitambo ya kuzalisha umeme wa maji mara kiangazi, mara mafuriko, sasa tuna rasilimali za kutosha za kinyesi kuzalisha umeme tena ni constant supply hakuna cha jua wala mvua.

Ila nimecheka sana, nimeondoa stress za tano bora kwa muda.
 


Hahaha..nimecheka sana!!
 

Haaahaaa

Jf raha sana. Stress zote zimeisha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…