Kwanini kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri? My answer is more spiritual than Mathematical

Kwa wepesi ni kwamba kuzidisha au alama ya "mara" ni kujirudiarudia mara kadhaa namba ileile. Kama hakuna kujirudia, yaani sifuri, inamaanisha hakuna! "Hakuna" ndiyo sifuri.

Mathalani, 7 mara 0 (7x0), maana yake 7 isijirudie hata mara moja! Kwa kuwa kujirudia hakupo au hakuna, ni sifuri. Ukisema 7 mara 1, maana yake 7 ionekane mara 1, itaonekana 7 hiyohiyo na kwahiyo jibu ni 7.

Saba ikionekana mara 2, yaani 7 zikiwa 2 zitakuwa jumla 14. Upo hapo?!
 
Hujajibu swali
Nilishaeleza mapema kwenye post za juu, hapo nilikuwa nakazia tu.
 
Umenena. Namba yoyote ikizidishwa na sifuri jawabu yake ni infinity ie namba kubwa mno
 
Kwa hio nikiwa nina mbuzi 2 wenye mimba nikazidisha na idadi ya watoto 2 ambao watazaliwa (ila kwa wakati huo bado hawajazaliwa ni sawa na sifuri) kwa hio jumla ya mbuzi wangu wote itakua 0?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…