Kwanini kila IGP anatoka mkoa Mara tu?

Hii imekaaje wadau?Kila cheo jeshini ni wakurya na wasukuma tu?

Huko polisi na jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na wajita na wasukuma?

Kulikoni?Kwamba raisi hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu??
Mahita na na Said Mwema walitoka kanda yq ziwa?,uwe unafanya research hata kidogo kabla ya kutoa tuhuma nzito kama hizi
 
Hii imekaaje wadau Kila cheo jeshini ni Wakurya na Wasukuma tu?

Huko Polisi na Jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na Wajita na Wasukuma?

Kulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?
Mu Irani leo umekengeuka.
πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…