Kwanini kila anayepambana na Makonda huanguka vibaya, ona Pompeo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,431
Kila anayepambana na Makonda huishia pabaya sana, sijui ni lile chozi analolitoa kijana huyu pale madhabauni?
Ebu ona

Gwajima alipokosona na Makonda video zikavuja, walipomaliza tatizo lao Leo Gwajima ni mbunge.
Wote tunajua kilichompata Mange.

Sugu, Lema, Msigwa, Mdee katika wakati tofauti tofauti walimuita majina ya ovyo Leo wako bench, Makonda yeye yuko bench lakini Yuko sub wakati wowote anaingia.

Baada ya Pompeo kumzushia kashfa nzitonzito mtoto wa mkulima huyu, Leo hii kamponza hadi boss wake Trump.
Maendeleo haya chama
 
Makonda ni nani hata asababishe wanasiasa nguli duniani waanguke? Kuanguka kwa wanasiasa hao hakuna uhusiano na uwepo wake hapa duniani
 
Niliwah kujiuliza kwa Mimi mungu alimpa kila mtu akili zake,badala ya kutupa akili moja....leo kupitia kwako nimepata jibu
 
Makonda anachukiwa sana humu jf sijui ni kwa nini? Hivi unawezaje mchukia mtu bila sababu ya msingi, Jamaa alivyoshindwa ubunge wanna jf wengi humu wemefurah, uchawi si mpaka kushika matunguli badilikeni ndugu zangu.
 
Duh, kwa mawazo haya acha ccm waendelee kushinda kwa kishindo tu.
Nakuelewa sana mzee. Ila asichokijua huyu mwenzetu ni kwamba Trump hajashindwa Urais bado. Anapambana nao mahakamani. Anarudi raundi ya Pili
 
Vipi na wajumbe waliomuangusha kule Kigamboni?

Vipi kuhusu Dr Ndungulile ambaye alimwangusha kule Kigamboni?

Mkuu kuna baadhi ya thread mtu akiandika kuna picha inanijia kichwani kwamba huyu ni mtu mzima kweli na kuna watu wanamtegemea?
Tunafahamu kwamba kigamboni wauza unga walichanga bilioni moja wakampa Ndungulile awape wajumbe
Ndungulile hakua na uwezo wa kupata hata kura 3
 
Gwajima aliwahi kumrushia mapepo na mapepo yakagoma kwenda kwa Makonda pale ndio nikajua Makonda ni mpakwa mafuta wa Bwana.
 
Kila anayepambana na Makonda uishia pabaya sana, sijui ni lile chozi analolitoa kijana huyu pale madhabauni?
Ebu ona
Gwajima alipokosona na Makonda video zikazuja, walipomaliza tatizo lao Leo Gwajima ni mbunge.
Wote tunajua kilichompata Mange.
Sugu, Lema, Msigwa, Mdee katika wakati tofauti tofauti walimuita majina ya ovyo Leo wako bench, Makonda yeye yuko bench lkn Yuko sub wakati wowote anaingia.
Baada ya Pompeo kumzushia kashfa nzitonzito mtoto wa mkulima huyu, Leo hii kamponza hadi boss wake Trump.
Maendeleo haya chama
akitokea benchi la ufundi
 
Kwa Trump kaangushwa na Makonda?
 
Back
Top Bottom