unataka uahidiwe kigoma itakuwa dubai bila kufafanuliwa chochote afu leo unauliza shemeji unatuachaje?

Wenye busara-leo Daktari Slaa katishaaa.
Jamani kwanini kila anachosema Lowassa lazima kifafanuliwe na wapambe wake? Ameongelea kuwatoa Babu Seya na Masheihk, haijapita siku wapambe wameshakuja na tafsiri tofauti. Akaja kuongelea kufuta JKT, mara tena wapambe hao wamekuja kufafanua na kusema kuwa watu hawakumuelewa. Sasa nauliza hivi huyu ni 'Rais' gani ambaye hata hajui msimamo wa sera zake mpaka wapambe ndio waje kufafanua? Hivi kweli anaweza akawa mzima kweli kiakili kukabiliana na hili wimbi la uchaguzi. Aiseee haya sio maneno yangu, lakini Slaa ametaka "Lowassa akapimwe akili". Nyie mnaonaje?
Slaaa katishaaaaaa

Slaa kawachakaza ile mbaya. Tunawasubiri waje kumjibu tuone mpambano utakavyoshika kasi
kwel mkuuyani nimegundua lowassa alichelewa sana kuwa rais wa hii nchi tena sana maake shtuma zote ananyooshewa kidole as if yeye ndo mkuu wa nchi? hivi lowassa anafanya uchafu wote huu boss wake alikuwa wapi?
hii nchi wanasiasa wetu wote shida angalau John Mnyika alisema Rais kikwete ni dhaifu, Yani muhusika anaeleweka ila watu wanazunguka zunguka wakati mchawi anafahamika kabisa.
Pamoja na Lowassa kuwa accountable iwe ni kwa makosa aliyosababisha mwengine au yeye mwenyewe kwa Africa yetu ya leo kiongozi mwenye uthubutu wa kuacha madaraka yake kwa kujiuzulu ni kama ilivyo kumtafuta bikra kwenye wodi ya wazazi tumeona CHADEMA ikilalamikiwa Hesabu zake Lakini si katibu wala mwenyekiti aliyewajibika