Kwanini Kikwete asisomee urubani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Kikwete asisomee urubani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo80, Feb 20, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu Msafiri au Mtalii Kikwete kutosemea Urubani ili aweze kuitembea dunia vizuri. inaonekana kuwa Kiongozi wa nchi wala hafaidi safari zake kwa kuwa waandishi na Wana JF wanamfuatilia sana hata kumpiga picha akiwa kwenye mabembea. Na nisikia Fisadi Kikwete anataka kwenda North Pole ila hakuna mtu wa kumpokea huko. Mtalii wetu amejipa pia cheo cha waziri wa utalii akiwa nje ya nchi na kuwaita wachukuaji waje wachukue gold, Diamond, Tanzanite na Resource nyingine ambazo wadanganyika hawazitaki iliwampe mipesa ya kutalii Dunia.
   
Loading...