Kwanini Kikao Cha UKAWA hakina msisimko?

Mvuto utoke wapi! Yaani kila mwaka ni hao hao tu! tangu 1995 hadi 2015???!!!
Tangu 2000 hadi 2015!!! Wanapoteza muda bure wa kujadili mambo ambayo hayatakuwa na manufaa, eti nani wa kuwapa dola ukawa!!!! Wasahau......
 
Imesaidia nini miaka yote?
Msisimko UPI zaidi ya kutulia kwa majadiliano kwanza !!
Mbwembwe zimesaidia nini ???
 

Kwakuwa watanzania wanawaamini UKAWA na wana imani na kazi wanayofanya. Ule mkutano wa ccm haukusisimua watu, bali ulishangaza si tu watanania bali dunia kuona wezi na mafisadi wanaenda kujadiliwa ili wapitishwe kugombea uraisi. Kwa mtu mwenye akili timamu na uelewa hawezi kushindwa kutambua kuwa upinzani Tanzania sasa unangu kubwa. Na mwenye busara na hekima hawezi kuufananisha mkutano wa viongozi wa UKAAWA na kikao cha harusi.
 

uwongo mwingi ndio maana hakuna msisimko
 

mijusi iliyokatwa uwanja wa ndege
 
Wanajadili mambo ya kifamilia kwa manufaa yao sisi wananchi yanatuhusu nini?
 
Kikao cha UKAWA ni makini kw mustakabali wa Taifa letu...
Hakina mbwembwe kama gulio la Vishkwambi...!
 

mbona lowasa alikupa msisimko lakini maghifuli ndo alipitishwa, vivyo hivo ccm watakupa msisimko then ukawa watashinda
 
CCM kila mtu ana ID zaidi tano kwa hiyo hum mtu mmoja aliweza andika post zaidi ya kumi. Kingine mnatumia hela ya walipakodi kuonga vyombo vya habari pomoja na watu. Kama ni duniani kuna watu ccm imewapa mali zetu kubadirishana na mtoto hao watawaunga mkono
 
Yani Ukawa isipo msimamisha msosi bingwa wa uchumi siwapi kura na ntaamini ili nigenge la wahuni tu...
 
Kwahiyo wewe ulitaka msisimko wa Mkutano wa UKAWA ili ufanye ngono na changudoa wako.. kukusisimua ameshindwa mpaka usisimke na mkutano wa UKAWA? Hebu mwongeze dau aifanye kazi vyema...!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Kwahiyo wewe ulitaka msisimko wa Mkutano wa UKAWA ili ufanye ngono na changudoa wako.. kukusisimua ameshindwa mpaka usisimke na mkutano wa UKAWA? Hebu mwongeze dau aifanye kazi vyema...!!!!

BACK TANGANYIKA

Shida yetu ni lipumba bingwa wa uchumi achukue urais cyo uyo slaa,mporaji wa mali sn...
 
Macho ya watanzania yalikuwa dodoma kuwaangalia jinsi watakavyo pigana Kwa sababu walikuwa wanaelekea kupasuana na maviti na watanzania wanapenda umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…