Kwanini Katiba ya nchi imepuuzwa na ya Chama kupewa kipaumbele?

Balozi wenu

Member
Mar 7, 2017
32
22
katiba iliyopo ya nchi inakupa nguvu na kiburi cha kutenda lolote. Hutopenda kuje mabadiliko ya kukubana.

Ni wazi kwamba 2019 ukaleta mabadiliko ya katiba na si ya warioba bali ya kukuwezesha kutupa dhiki miaka 10 mengine.

Inaonekana wazi katiba ya CCM hukua na uthubutu. Sasa wana CCM wamejikaanga kwa mafuta yao.
 
Back
Top Bottom