ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,967
- 3,899
Uzoefu unaonyesha hata machinga wenyewe hawazitaki za ghorofa maana wateja ni wavivu kupandisha juu, wengi wao huishia ground floor na kuondoka. Ni customer behavior, kwa hiyo ni hasara kwa walio ghorofa za juuPale Karume lijengwe mall/sokonla kisasa ambalo Lina design nzuri co Kama machinga complex, Ili liweze KUacommodate machinga, soko liwe zuri hata china yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like...
Watu wanapiga pesa kupitia shida za wananchi kwao ni fursa kubwa snPale Karume lijengwe mall/sokonla kisasa ambalo Lina design nzuri co Kama machinga complex, Ili liweze KUacommodate machinga, soko liwe zuri hata china yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like...
Nature ya wateja yenyewe hawataki kupanda ghorofaniUzoefu unaonyesha hata machinga wenyewe hawazitaki za ghorofa maana wateja ni wavivu kupandisha juu, wengi wao huishia ground floor na kuondoka. Ni customer behavior, kwa hiyo ni hasara kwa walio ghorofa za juu
Very trueHata kama likijengwa jengo kama hilo bado tu halitamaliza tatizo. Makada watajimilikia fremu na wamachinga wa kweli wataenda kutafuta sehemu zingine na kujenga kiholela...
Mfano mzuri hata soko jipya la kisutu pale, hakuna kinachoendelea.kwa wale wenye vizimba vya ghorofa ya pili nankuendeleaNature ya wateja yenyewe hawataki kupanda ghorofani
Watanzania hatujazoea hivyo vituMfano mzuri hata soko jipya la kisutu pale, hakuna kinachoendelea.kwa wale wenye vizimba vya ghorofa ya pili nankuendelea
Kwani unadhani machinga complex ilijengwa ili tufugue popo?? Wamachings hawataki kubadiliks,jk aliwajengea machinga complex hawataki kuingia mule wamewaachia watengeneza computer na mama ntilie na maskani ya kulaza mateja!kwahiyo hata ukijenga ya aina gani haitoleta matunda,sabahu hawatoenda ni kuharibu pesa za umma ty!!Pale Karume lijengwe mall/soko la kisasa ambalo Lina design nzuri siyo Kama machinga complex, Ili liweze Kuacommodate machinga, soko liwe zuri hata China yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like.
Liwekewe vidhibiti moto, na features zote. Tuache siasa za space na club house.
Mama toa pesa Kama hamna tutachanga raia. Ila soko liwe na design nzuri na la kuvutia. Sio gofu Kama machinga complex
Mkuu haya mawazo NI mazuri sanaaaPale Karume lijengwe mall/soko la kisasa ambalo Lina design nzuri siyo Kama machinga complex, Ili liweze Kuacommodate machinga, soko liwe zuri hata China yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like.
Liwekewe vidhibiti moto, na features zote. Tuache siasa za space na club house.
Mama toa pesa Kama hamna tutachanga raia. Ila soko liwe na design nzuri na la kuvutia. Sio gofu Kama machinga complex
Floor zikishazidi 2 watu hawapandi yani😅😅😅 na ndio maana Machinga Complex pamechunda! Nature ya wateja wa kibongo wanataka watembee eneo flat tu!Mfano mzuri hata soko jipya la kisutu pale, hakuna kinachoendelea.kwa wale wenye vizimba vya ghorofa ya pili nankuendelea