Kwanini Karume isijengwe mall ya gorofa 3/4 ya machinga kama Kenya/Uganda?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,894
Pale Karume lijengwe mall/soko la kisasa ambalo Lina design nzuri siyo Kama machinga complex, Ili liweze Kuacommodate machinga, soko liwe zuri hata China yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like.

Liwekewe vidhibiti moto, na features zote. Tuache siasa za space na club house.

Mama toa pesa Kama hamna tutachanga raia. Ila soko liwe na design nzuri na la kuvutia. Sio gofu Kama machinga complex
 
Pale Karume lijengwe mall/sokonla kisasa ambalo Lina design nzuri co Kama machinga complex, Ili liweze KUacommodate machinga, soko liwe zuri hata china yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like...
Uzoefu unaonyesha hata machinga wenyewe hawazitaki za ghorofa maana wateja ni wavivu kupandisha juu, wengi wao huishia ground floor na kuondoka. Ni customer behavior, kwa hiyo ni hasara kwa walio ghorofa za juu
 
Watu wanapiga pesa kupitia shida za wananchi kwao ni fursa kubwa sn
 
Hata kama likijengwa jengo kama hilo bado tu halitamaliza tatizo. Makada watajimilikia fremu na wamachinga wa kweli wataenda kutafuta sehemu zingine na kujenga kiholela.

Hali iliyopo Tanzania Sasa hivi ni ngumu Sana na ni survival for the fittest. Watawala wasifurahie hali hii wakifiri watuvwakiwa maskini na shida ni rahis kuwatawala ni bomu linalosubiri kulipuka.

Hela iliyoibwa toka 2005 hadi leo ni nyingi sana
 
Uzoefu unaonyesha hata machinga wenyewe hawazitaki za ghorofa maana wateja ni wavivu kupandisha juu, wengi wao huishia ground floor na kuondoka. Ni customer behavior, kwa hiyo ni hasara kwa walio ghorofa za juu
Nature ya wateja yenyewe hawataki kupanda ghorofani
 
Machinga complex ilikuwa kwa ajili ya hao waliokuwa soko la karume, sidhani ka kujenga jengo lingine hapo litakuwa na tija

Kikubwa cha kujiuliza ni uwezo wa hao wafanyabiashara/wajasiriamali kulipia vizimba vya biashara
 
Chinga wameshashtukia mchezo, wamesema watalijenga wenyewe, nyie kama mnazo pesa za kujenga hilo la gorofa tafuteni kwengine.
 
Pale Karume lijengwe mall/soko la kisasa ambalo Lina design nzuri siyo Kama machinga complex, Ili liweze Kuacommodate machinga, soko liwe zuri hata China yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like.

Liwekewe vidhibiti moto, na features zote. Tuache siasa za space na club house.

Mama toa pesa Kama hamna tutachanga raia. Ila soko liwe na design nzuri na la kuvutia. Sio gofu Kama machinga complex
Kwani unadhani machinga complex ilijengwa ili tufugue popo?? Wamachings hawataki kubadiliks,jk aliwajengea machinga complex hawataki kuingia mule wamewaachia watengeneza computer na mama ntilie na maskani ya kulaza mateja!kwahiyo hata ukijenga ya aina gani haitoleta matunda,sabahu hawatoenda ni kuharibu pesa za umma ty!!
 
Pale Karume lijengwe mall/soko la kisasa ambalo Lina design nzuri siyo Kama machinga complex, Ili liweze Kuacommodate machinga, soko liwe zuri hata China yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like.

Liwekewe vidhibiti moto, na features zote. Tuache siasa za space na club house.

Mama toa pesa Kama hamna tutachanga raia. Ila soko liwe na design nzuri na la kuvutia. Sio gofu Kama machinga complex
Mkuu haya mawazo NI mazuri sanaaa

Ila Hawa wafanyabiashara wetu hawatokubali kamwe.....mfano mdogo tu soko la kisutu pale jengo Kali lkn mama ntilie wanalalamikawana kwambia hawauzi Kama zaman walivyokuwa wanapika nje kokote uchochoroni

Wanataka wazurure watie kambi kokote
 
Basi machinga wapewe ultimatum ya kuamua wanapotaka au wanavyotaka mambo yaende
 
Umetolea mfano wa Kenya na Uganda, Ila inaonekana kote huko hujawahi kufika.
Uganda Wana soko kubwa la mitumba kubwa kuliko karume linaitwa OWINO market. Huko Kuna vibanda vya kila aina
Nairobi wao wana karume yao kubwa sana inaitwa Gikomba.
 
Mfano mzuri hata soko jipya la kisutu pale, hakuna kinachoendelea.kwa wale wenye vizimba vya ghorofa ya pili nankuendelea
Floor zikishazidi 2 watu hawapandi yani😅😅😅 na ndio maana Machinga Complex pamechunda! Nature ya wateja wa kibongo wanataka watembee eneo flat tu!

Yani wamekuheshimu sana watapanda floor ya kwanza..Na wanachofata kiwe hakipatikani chini huku maana kikiwepo juu hawatakanyaga😅😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom