Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,456
- 18,489
Hivi anaweza kuachia ukurugenzi wa michezo eeeeh? Hii napendekeza achukue Arajiga!Mayai lazima anachukua form. Salamba pia kwenye kamati tendaji.👇
Hivi anaweza kuachia ukurugenzi wa michezo eeeeh? Hii napendekeza achukue Arajiga!Mayai lazima anachukua form. Salamba pia kwenye kamati tendaji.👇
Aondoke tuKwanini asijitafakari kutuachia mpira wetu?
Kwani karia amechaguliwa na nani?Hii sio familia ya mtu ni taasisi ya watu 67m
Wewe ni mpuuzi kabisa, Yanga imechukua ubingwa mfululizo kutokana na uwezo mkubwa wa wachezaji na mabenchi ya ufundi na uongozi bora wa Hersi na uwekezaji wa gsm, finito. Karia kaja TFF wakati ule yanga inakinga bakuli Manji hayupo. Karia kuona hivyo akapitisha kanuni ya kusajiri wachezaji 8 Kila timu kwakuwa Simba ilikuwa na mo, akina kuwa Yanga haiwezi kumudu kusajili wachezaji 8 wa kigeni. Hii ilisababisha Simba kushinda mfululizo mara 4. Ujio wa gsm na Hersi ndiyo turning point ya Yanga.Kwani karia amechaguliwa na nani?
Unajua nyie ni wapuuzi sana msio waz mbele wala Nyuma.
Karia huyu huyu chini ya Uongozi wake Yanga imechukua vikombe vya Ligi mara 3 misimu mitatu mfululizo.
Swali je karia leo ndio anakosea au shida iko wapi?
kubadilisha kanuni!Mafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa wachezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine, kupanga ratiba zisizo na malalamiko na viporo vingi, kutoa zawadi za washindi, ubora wa waamuzi, na kuahirisha mechi kiholela.
Kazi zake nyingine ilibidi zifanywe na watu wengine wakiwemo mawaziri na Rais wa nchi ili kurekebisha mambo mpira uchezwe.
Karia ameshindwa kabisa kushirikiana na wadau muhimu wa mpira kama timu anazoziongoza na wadau wengine. Alitumia authoritarian/dictatorship (yaani Fanya ninachokuambia) kama njia yake ya kuongoza taasisi, hakuruhisu mijadala na maoni kutoka kwa wadau.
Kama sio busara za wawekezaji, viongozi wa timu, mashabiki, wachambuzi, serikali na Rais wa nchi mwenye huenda maafa makubwa na uharibifu wa mali ungetokea mkubwa sana. Mfano, unaona timu pamoja na uwekezaji wake mkubwa unaona inashika daraja kwasababu za waamuzi, ratiba mbaya na adhabu zisizokuwa na kichwa Wala miguu.
Kwanini asijitafakari kutuachia mpira wetu?
Tokea lini mhuni akawa na aibu!Mafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa wachezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine, kupanga ratiba zisizo na malalamiko na viporo vingi, kutoa zawadi za washindi, ubora wa waamuzi, na kuahirisha mechi kiholela.
Kazi zake nyingine ilibidi zifanywe na watu wengine wakiwemo mawaziri na Rais wa nchi ili kurekebisha mambo mpira uchezwe.
Karia ameshindwa kabisa kushirikiana na wadau muhimu wa mpira kama timu anazoziongoza na wadau wengine. Alitumia authoritarian/dictatorship (yaani Fanya ninachokuambia) kama njia yake ya kuongoza taasisi, hakuruhisu mijadala na maoni kutoka kwa wadau.
Kama sio busara za wawekezaji, viongozi wa timu, mashabiki, wachambuzi, serikali na Rais wa nchi mwenye huenda maafa makubwa na uharibifu wa mali ungetokea mkubwa sana. Mfano, unaona timu pamoja na uwekezaji wake mkubwa unaona inashika daraja kwasababu za waamuzi, ratiba mbaya na adhabu zisizokuwa na kichwa Wala miguu.
Kwanini asijitafakari kutuachia mpira wetu?
Na tutapambana mpka mwishoSafari hii hatutaki rais wa TFF mwenye tumbo kubwa kama Karia. Maana watu wengi (siyo wote) wenye matumbo makubwa, mara nyingi hupenda kuzihifadhi akili zao huko (tumboni), badala ya kichwani.