ndomana nimemwambia kuna ufungaji wa kamba ukifunga hazifunguki hadi ufungue mwenyewekuna ufungaji wake wa kamba hazifunguki hata utembee kutoka dar hadi mwanza kwa mguu, yani unafunga kamba wakati wa kuvaa unafungua kamba mwenyewe ukitaka kuvua viatu
hata ukitaka uvue viatu bila kufungua kamba unachomoa mguu na kamba zinabaki vilevile ulivyofunga
Kuna namna tulifundishwa kufunga viatu tukiwa jkt nilikuwa nakaa navyo mguuni siku saba bila kufungua pamoja na mabio yote yale, huenda wewe unafunga kilegevu.