Kwanini kahawa haiwekwi sukari?

Halafu kwanini wanywa kahawa wanakalia benchi badala ya viti? Na kwanini inawekwa kwenye birika?
 
Halafu kwanini wanywa kahawa wanakalia benchi badala ya viti? Na kwanini inawekwa kwenye birika?

ni kwasababu bench linaleta tabu huwez kuegama hivyo wale wanywaji hawatokaa sana ili waweze kupisha na wenzao halafu inawekwa kwenye birika kwasababu wauza kahawa wana mkono wa birika!
 
Mada imeelekea upande mwigine tofauti na kusudi la aliyeianzisha,LOL!
 
Kwataarifa Yako Kama Huna Pesa Yakununulia Gazeti Wenenda Kajikalishe Kwenye Kijiwe Cha Kahawa Pale Huwa Kuna Wachambuzi Wasoka,siasa, uchumi, Udaktari N.k
 
Nashangaa siku hizi hadi vijana wanakaa kwenye vijiwe vya kahawa kuanzia asubuhi mpaka jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…