Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,237
- 283,118
Ni swali tu jamani na linahitaji Majibu
J.S.Shao,Ni swali tu jamani na linahitaji Majibu
Bifu lake na Lema limeisha? haha.J.S.Shao,
amerejea chadema kwa makusudi, baada ya kuona na kujiridhisha kwamba chadema kuna ombwe la uongozi wa kitaifa, na kwahivyo, ana kila sababu ya kutumia fursa hiyo kurejea chadema na kwa wakati muafaka kuchukua nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa na hatimae kuirejesha chadema kaskazini ilikozaliwa 🐒
J.S.Shao kapiga mahesabu makali sana kisiasa,Bifu lake na Lema limeisha? haha.
walimfungiaga Chooni kwenye uchaguzi
Anacho cheo chochote huko; au anatarajiwa kuwa na nafasi ya aina hiyo ndani ya chama hivi karibuni?Ni swali tu jamani na linahitaji Majibu
Ndondocha mpeleken mama yenu kwenye psychotherapy maana anakaribia kuwa ndondocha kama machawa yakeJ.S.Shao,
amerejea chadema kwa makusudi, baada ya kuona na kujiridhisha kwamba chadema kuna ombwe la uongozi wa kitaifa, na kwahivyo, ana kila sababu ya kutumia fursa hiyo kurejea chadema na kwa wakati muafaka kuchukua nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa na hatimae kuirejesha chadema kaskazini ilikozaliwa 🐒
Nionavyo mimi, awezakuwa na imani na uongozi uliopo kwa sasa ambao ni tofauti na uliomfurusha, hilo la kwanza.Ni swali tu jamani na linahitaji Majibu
SawaWacha warudi tutengeneze timu kubwa.
Maswali yako yashaanza kupata majibuAnacho cheo chochote huko; au anatarajiwa kuwa na nafasi ya aina hiyo ndani ya chama hivi karibuni?
Je, amerudi kwa hiari yake mwenyewe, au kashawishiwa kurudi ndani ya chama kwa matumaini juu yake?
Kama karudi kwa hiari yake, amepokelewa vipi ndani ya chama hicho. Yeye anajiona ni tofauti na wanachama wengine wa kawaida wanaokipenda chama kwa sababu kadhaa walizonazo; au yeye karudi akiwa na malengo yapi, kayaeleza kwa viongozi wa chama na wanachama wenzake?
Nafasi yake ndani ya chama, ana masalia ya wenzake aliowaacha nyuma alipokiasi chama, na sasa karudi kutumia wenzao hao wakisumbue tena chama?
Uwezekano wa haya, viongozi wa chama wanayajuwa?
Alijua kuna hela za kugawana.. Sasa anahisi Heche ndo anakula hizo hela ndo maana hapati🤣🤣Ni swali tu jamani na linahitaji Majibu