Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Baada ya kukaa chini na kufatilia mwenendo wa wabunge wa chadema nimegundua wabunge hawa wawili wana TOFAUTI na wabunge wengine wa chadema.
Kitu kinacholeta utofauti ni kwamba karibia wabunge wote wa chadema wana kesi polisi, mahakamani na wameshawahi kukamatwa na polisi wala kuhusishwa na tuhuma zozote za uchochezi. .
Jee inawezekana ikawa ni uoga au upole wapo kimya sana na hata mienendo yao iko TOFAUTI .
Au yawezekana makabila wanayotokea hawana ile haiba ya uanarakati au nini jamani